SMS Swahili

Serikali ya Marekani inasema uteuzi wa Jaji Aaron Ringera ni kinyume cha sheria. Maafisa wa serikali ya Gabon wanasema Ali Ben Bongo ameshinda uchaguzi wa urais.