ODM yaongoza Kenya.

Chama cha ODM kimeshinda uchaguzi mdogo wa ubunge magharibi mwa Kenya. Mazungumzo ya kushirikiana madaraka kati ya viongozi mahasimu wa Madagascar yamemalizika leo bila mafanikio.