Uchaguzi mdogo waendelea Kenya

Uchaguzi mdogo wa maeneo bunge ya Shinyalu na Bomachoge waendelea nchini Kenya. Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yamteuwa balozi kwa Uganda baada ya miaka 15.