Kenya yaongeza muda kuhesabu watu

Asilimia 70 ya Wakenya hawajahesabiwa na serikali imeongeza muda wa zoezi hilo hadi ijumaa. Maafisa wa Zimbabwe wakanusha madai kuwa rais Mugabe amelazwa hospitali. Ted Kennedy afariki.