Wafanyakazi Kenya Airways wagoma

Wafanyakazi wa shirika la ndege la Kenya Airways wagoma. ICC imetoa amri ya kuachiwa huru kwa makamu rais wa zamani wa DRC.