Clinton awasili Abuja

Rais Kibaki na waziri mkuu Odinga wafungua rasmi mkutano wa marekebisho ya utaratibu wa uchaguzi nchini Kenya.Waziri Clinton atakutana na rais wa Nigeria Umaru Yar’adua hii leo.