UN yataka raia wa CAR walindwe

Umoja Mataifa inataka hali ya ulinzi iboreshwe kwa raia wasiokuwa na makazi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Mwakilishi wa Marekani kwa Sudan azungumzia juhudi za amani nchini humo.