Maoni ya Raia Kuhusu Kukamatwa kwa Nkunda

Raia wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekuwa na maoni tofauti kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa kundi la waasi wa Congo Jenerali Laurent Nkunda. Bonyeza alama ya sauti au Nkunda Akamatwa kusikiliza maoni hayo.