Athari za ugonjwa wa tezi dume

Your browser doesn’t support HTML5

Saratani ya tezi  dume ni ugonjwa unaosumbua katika jamii nyingi hivi sasa ugonjwa ambao unaelezwa kwamba unatokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri mkubwa au maambukizi ya mara kwa mara katika tezi dume ugonjwa ambao unawakabili wanaume hasa wanaofikia umri mkubwa.