Vijana wa Afrika mashariki wanaelezea matarajio yao kwa utawala mpya wa Rais mteule wa Marekani Donald Trump ambaye anaapishwa leo Jumatatu.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.