Wamarekani wanaendelea kuomboleza kifo cha Rais wa zamani Jimmy Carter aliyefariki Jumapili akiwa na umri wa miaka 100.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.