Mmoja wa wanawake kutoka Afrika mashariki Winnie Miseda anazungumzia mchango wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter barani Afrika.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.