Papa Francis ametoa wito Jumatano kutaka silaha kunyamazishwa kote duniani, alipokua anatoa hotuba ya kusherehekea siku kuu ya krismasi
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.