Mahakama Kuu ya Kenya imekataa ombi la Rigathi gachagua kutaka majaji waliopo waondolewe katika kesi yake ya kumuondoa madarakani.

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.