Kijana Thomas wa Geita nchini Tanzania anaelezea kuhusu kongamano la vijana litakavyowanufaisha vijana katika ujasiriamali na teknolojia.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.