Vijana watano waliohusika kumbaka msichana mmoja mkoani Dodoma nchini Tanzania wamehukumiwa vifungo vya maisha jela.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.