Rais Tshisekedi wa DRC atowa wito kwa Rwanda kuwekewa vikwazo ili kumaliza mzozo mashariki mwa nchi yake alipohutubia Baraza Kuu la UN

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.