Wachambuzi wa michezo Afrika mashariki wanaelezea matumaini yaliopo kwa timu za Afrika zinazoshiriki katika Olimpiki 2024 huko Ufaransa.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.