Serikali ya Kenya imelazimika kuondoa mapendekezo yaliyoleta utata katika makato ya ushuru wa bidhaa ikiwemo mkate na magari.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.