Baadhi ya vijana wa Tanzania na Uganda wanaelezea hali ya fursa na changamoto za ajira zilizopo katika maadhimisho la siku ya wafanyakazi.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.