Madaktari bingwa wanatarajiwa kuwasili Morogoro nchini Tanzania kufanya uchunguzi na kutibu maradhi mbalimbali kwa wakaazi katika mkoa huo.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.