Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waanza kuondoka Haiti huku hali ya sintofahamu ikitanda

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umeanza kuwaondowa wafanyakazi wake wasio na majukumu muhimu nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia na ukosefu wa usalama katika taifa hilo la Caribean.