Maoni tofauti yajitokeza kuhusu uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Desemba 20

Your browser doesn’t support HTML5

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kufanya uchaguzi wa rais, wabunge na serikali za mitaa Desemba 20 huku Maoni mseto yakiibuka wakati hali ya usalama bado ni tete.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari