Tanzania: Mkutano wa mfumo wa chakula wahimiza uwezeshaji wa wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Katika mkutano wa mfumo wa chakula na kilimo unaoendelea nchini Tanzania wadau wamehimizwa uwezeshaji wa wanawake katika kilimo, uvuvi na ufugaji ili kuongeza mchango wao katika kuimarisha mfumo wa chakula barani Afrika.

Viongozi wa Afrika wapendekeza kuwepo na kodi mpya ya dunia na mageuzi katika taasisi za kimataifa za kifedha kwa ajili ya kusaidia kuchukuliwa hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari