Tinubu awataka viongozi wa ECOWAS kujaribu kutumia diplomasia kurejesha utawala wa kiraia Niger

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewataka viongozi wa Afrika Magharibi wanatakiwa kujaribu njia zote za kidiplomasia kuhakikisha utawala wa kikatiba unarejea Niger.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari