Wasiwasi waongezeka Niger huku Bazoum "akitishiwa maisha yake" iwapo a kikosi cha ECOWAS kitaingilia kati

Your browser doesn’t support HTML5

Mvutano unazidi kuongezeka kati ya utawala mpya wa kijeshi wa Niger na jumuiya ya ukanda wa Afrika Magharibi ambayo imeamuru kutumwa kwa wanajeshi kurejesha demokrasia nchini humo.