Obama Foundation imezindua program mpya ya vijana viongozi wanaochipukia Marekani ikihamasisha masuala ya utawala bora na uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.