Raila na Ruto wakubaliana kuunda kamati mpya ya mazungumzo ya kutatua mzozo wa kisiasa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga, wamekubaliana kuunda kamati mpya ya mazungumzo ya kutatua mzozo wa kisiasa baada ya maandamano kusababisha maafa na uharibifu wa mali.