Umoja wa Afrika umelitaka jeshi la Niger kurejea kwenye kambi zao na kurejesha mamlaka ya kikatiba ndani ya siku 15
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.