Wakimbizi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja Kenya wananyanyaswa na mamlaka hazichukui hatua, Amnesty International yasema katika ripoti
Your browser doesn’t support HTML5
Wakimbizi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja Kenya (LGBTQ) wananyanyaswa kingono na kukabiliwa na changamoto zingine na ili halimamlaka hazichukui hatua, shirika la haki la Amnesty International limesema katika ripoti yake.