Maswali yaibuka baada ya rais Biden Kutangaza kugombea urais tena
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya wiki kadhaa za kuashirika kuwania urais kwa muhula wa pili, hatimaye rais wa Marekani Joe Biden Jumanne alitangaza rasmi kwamba atawania tena wadhifa huo kwenye uchaguzi wa 2024, kupitia video fupi ya dadika 3, akieleza anachoamini Marekani inahitaji..