Trump apatikana na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumanne alipatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa vitabu E. Jean Caroll ambaye alikuwa anadai kwamba alibakwa mnamo mwaka wa 1996.