Makampuni makubwa ya teknolojia Marekani yawafukuza kazi maelfu ya wafanyakazi
Your browser doesn’t support HTML5
Wimbi la kupunguza wafanyakazi wa makampuni makubwa ya teknolojia kama vile Meta, Google, Amazon na mengineyo limeongezeka nchini Marekani, wachambuzi wakisema hatua hiyo inatokana na sababu mbalimbali lakini mdororo wa kiuchumi wa dunia ukielezwa kuwa mmoja wapo.