Waatalamu wanasema sonona huwatokea kina maana baada ya kujifunguwa wakiwa na wasi wasi, msongo wa mawazo, shida ya kupata usingizi na hata mara nyingi kushindwa kumtunza mtoto wake.
Je, unafahamnu changamoto zinazotokana na sonona, PPD, baada ya mwanamke kujifungua
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Afya Duniani WHO linaonya kwamba asili mia 20 ya wanawake wanaweza kupata sonona, PPD, baada ya kujifungua.