Mtaalamu wa afya wa cheo cha juu katika serikali ya China anaonya juu ya kuongezeka kwa visa vya COVID-19 nchini humo
Your browser doesn’t support HTML5
Mtaalamu wa magonjwa ya milipuko Zhong Nanshan aliviambia vyombo vya habari vya serikali katika mahojiano yaliyochapishwa Jumapili kwamba virusi vipya aina ya Omicron vilivyoenea nchini China vinabadilika sana na vinaweza kusababisha kuongezeka kwa visa vya maambukizi