Kombe la Dunia: Saudi Arabia yashangaza wengi kwa kuifunga Argentina mabao 2-1
Your browser doesn’t support HTML5
Saudi Arabia imeandika historia Jumanne katika kombe la dunia linalofanyika Qatar kwa kuishinda Argentina kwa mabao 2-1 katika mechi yao ya ufunguzi katika kundi C