Hali ilivyo nchini Qatar saa 48 kabla ya kipute cha Kombe la Dunia kuanza

Your browser doesn’t support HTML5

Wageni, wachezaji na mashabiki wa mpira wa miguu, wanaendelea kuwasili nchini Qatar, tayari kwa michuaao ya Kombe la Dunia mwaka 2022, ambayo itaanza rasmi kesho kutwa, na kwendelea hadi Desemba 18, wakati fainali itafanyika kwenye uwanja wa Lusail.