Afisa wa zamani wa polisi huko Thailand ameshambulia kituo cha kulelea watoto na kuuwa watu takribani 30 wakiwemo watoto 23

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Thailand wanasema mshambuliaji huyo pia alirejea nyumbani ambako pia alimuua mkewe na mtoto wake kabla ya kujiua. Afisa huyo alifukuzwa kazi mwaka 2021 kutokana na matumizi ya dawa za kulevya