Wadau wa sekta ya utalii wakutana Arusha
Your browser doesn’t support HTML5
Zaidi ya mawaziri 50 wa nchi mbalimbali, wataalam na maafisa wa kamisheni ya Umoja wa Afrika wanakutana mjini Arusha, Tanzania, kujadili mafanikio na changamoto zinazokumba sekta hiyo.