Watu 6 wauawa kwa kukatwa vichwa Msumbiji

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amesema Jumatano kwamba wanamgambo wa Kiislamu kwenye jimbo la kaskazini la Nampula wameua watu 6 kwa kuwakata vichwa huku wengine watatu wakitekwa nyara.