DRC: Tume ya UN ya ulinzi wa amani yaondoka Butembo

Your browser doesn’t support HTML5

Tume ya Umoja wa Mataifa, UN, ya ulinzi wa amani yaondoka Butembo baada ya maandamano mabaya dhidi ya kushindwa kwake kuwalinda raia.

- Mtendaji wa Baraza la Nile Basin Initiative Slyvester Matemu anasema hakuna njia mbadala zaidi ya kuwa na matumizi endelevu ya ukanda wa Bonde la Mto Nile ambapo nchi za Afrika Mashariki zinaendelea na juhudi ya uzalishaji umeme.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.