Wakaguzi wa nyuklia wa UN kuanza kazi yao katika kinu cha nyuklia Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Wakaguzi wa nyuklia wa Umoja wa Mataifa wameanza kazi yao Alhamisi katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia cha Ukraine, kutathmini masuala ya Ulinzi na usalama huku kukiwa na wasiwasi wa kimataifa kwamba mapigano katika eneo hilo yanaweza kuhatarisha kituo hicho.