Wanaharakati DRC waliomba Baraza la UN kuchunguza mauaji ya waandamanaji

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya mashirika ya kiraia na yakutetea haki za binadamu DRC yameomba Baraza la Umoja wa Mataifa kuanzisha uchunguzi haraka kuhusu mauaji ya waandamanaji zaidi ya ishirini.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa utegemezi wa uchumi wa dunia kwa dola ya Marekani.

Russia imetoa gesi kidogo kwa Umoja wa Ulaya

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari