Malawi: Wauguzi hawaruhusiwi kwenda kufanya kazi Marekani na Saudia
Your browser doesn’t support HTML5
Chama cha wauguzi nchini Malawi kimemsihi Rais Lazarus Chakwera kuwaruhusu wauguzi 2,000 kwenda kufanya kazi Marekani na Saudi Arabia, baada ya serikali yake kuamuru mpango huo usitishwe.