Marekani yamuua kiongozi wa Al Qaeda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden Jumatatu amethibitisha kwamba Marekani imemuua kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Ayman al-Zawahiri, katika operesheni ya maafisa wake wa kijasusi, iliyofanyika nchini Afghanistan.