Wakimbizi wa DRC walioko Angola waanza tena kurudi nyumbani
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi linasema mpango kwa ajili ya wakimbizi wa Congo wanaotaka kurejea nyumbani kwa hiari kutoka Angola umeanza tena baada ya kusimama kwa miaka miwili kutokana na janga la Covid 19.
Kundi la kwanza la wakimbizi 88 linatarajiwa kuwasili DRC leo.