DRC na Rwanda zakubaliana kupunguza uhasama
Your browser doesn’t support HTML5
Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimekubaliana kupunguza uhasama kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkubwa juu ya mapigano ya waasi mashariki mwa DRC, ofisi ya rais wa Congo imesema Jumatano baada ya mazungumzo kati marais wa nchi hizo mbili chini ya upatanishi wa rais wa Angola.