WFP yasitisha msaada wa chakula kwa raia milioni 1.7 wa Sudan Kusini
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Umoja wa mataifa la mpango wa chakula ( WFP) limelazimika kusitisha kutoa msaada wa chakula kwa raia wa Sudan Kusini milioni 1.7 kwa sababu ya uhaba wa ufadhili wa dola milioni 426.