Eritrea yaorodheshwa kama yenye rekodi mbaya zaidi ya uhuru wa habari Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia inaadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari huku nchi nyingi za Afrika Mashariki zikitajwa katika ripoti ya Shirika la Waandishi wasio na Mipaka kama zilizoimarisha rekodi yake ikilinganishwa na mwaka jana.