Mahojiano ya moja kwa moja na msemaji wa M23 nchini DRC Meja Willy Ngoma.
Your browser doesn’t support HTML5
Msemaji wa Kundi la waasi Mashariki mwa DRC M23 Meja Willy Ngoma anaelezea kile kilichowafanya wapiganaji wa kundi hilo kwendelea kukabiliana na wanajeshi wa serikali na kuteka vijiji.